Na.Yuster Sengo
Benki ya NMB imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni kumi ili kuunga mkono juhudi za rais wa jamhuri y muungano wa tanzania katika kuileta nchi maendeleo kwenye sekta mbalimbali.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo meneja wa nmb kanda bwana Baraka Ladislaus ameseama kuwa Beni ya NMB inatambua mchango wa serikali kwenye sekta ya elimu kwa akutoa elimu bure na kuboresha sekt ya elimu hivyo wao kama wadau wanaunga mkono juhudi hizo za serikali
”Tunaunga mkono juhudi za serikali kwa kuunga mkono shughuli za kuleta maendeleo kwa kuchangia mambo mbalimbali yanayohitajik kwenye jamii”amesema Ladislaus
Bw ladislaus ameseama kuwa benki hiyo imetoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni kumi vikiwemo mabati 130 na mbao 105 kwenye zahanati gereza la mahenge na kwa upande wa shule ya selina kombani amesema kuwa wametoa mabati 165.
“Tulipata maombi kutoka kwa mkuu wa wialaya ya ulanga Mh.Ngollo Malenya kuchangia vifaa vya ujenzi vya zahanati ya gereza la ulanga na shule ya selina kombani ambapo leo tunakabidhi mchango wetu rasmi ,mchango huo ni wa mabati 130 na mbao 105 kwa zahanati ya magereza na mabati 165 ya shule ya sekondari selina kombni “ameongza Ladislaus
Hata hivyo meneja huyo amesema kuwa anashuuru kwa kutambuliwa kama wadau wanaoweza kuchangia maendeleo ndani ya wilaya ya ulanga na maeneo mengine kwani benk yao kwa mwaka 20202 imetenga bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni moja zitakazosaidia kwenye sekta za afya na elimu
“Benki ya NMB tumeamua kujikita katika kutoa michango yetu kwenye sekta ya elimu na afya ili jamii ya watanzania iweze kufaidika na faida kidogo tunayoipata kwenye biashara yetu”amesema ladislaus
naye mkuu wa wilaya ya ulanga Ngolo Malenya ameishukuru benki hiyo kwa msaada huo kwani imekuwa ni benki ya mfano wa kuigwa kwenye kuchangia sekta za elimu na afya na kusema kuwa wananchi sasa wanaona umuhimu wa benki hiyo kama wateja kwa kuwajali
“Pia naomba benki ya NMB mje kuwaelimisha watumishi kuhusu mikopo mbali mbali mnayotoa hususani mkopo wa ujenzi wa nyumba ili nao waweze kunufaika zaidi kupitia mikopo hiyo na waweze kujenga nyumba zao”amesema Malenya
Malenya amesema kuwa kwa sasa anaamini hakuna watotot watakaobanana tena kwenye shule ya selina kombani kwani mabati yaliyotolewa yatasaidia kupongeza vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo
mwisho

Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.