12.03.2017 SAA3:00USKU MAAFA
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAAFA WILAYANI ULANGA MKOANI MOROGORO AMBAYE PIA NI MKUU WILAYA YA ULANGA MH JACKOB KASEMA AMEONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA ILI KUJADILI MAAFA YALIYOTOKEA KATIKA TARAFA YA RUAHA NA MWAYA.
AKIFUNGUA MKUTANO HUO MWENKITI HUYO AMEWATAKA WAJUMBE HAO KUJADILI KWA PAMOJA NINI KIFANYIKE KWA WAKATI HUU ILI KUWASAIDIA WATU WA TARAFA HIZO WAKATI UTARATIBU MWINGINE UKIENDELEA KUTATULIWA.
MH.KASSEMA AMESEMA KUWA LILIPOTOKEA ALIKWENDA KUJIONEA HALI HALISI NA KUPELEKA TAARIFA MKOANI HIVYO KWA LAKINI KWA WILAYA WANAFANYA JITIHADA ZA AWALI ILI KUWA SAMBAMBA NA WAATHIRIAKA HAO WA MAFURIKO.
AIDHA KWA UPANDE WAKE AFISA KILIMO WILAYANI ULANGA BW JOSEPH MKUDE AMEELEZEA MADHARA YALIYOPATIKANA KUTOKANA NA MVUA HIZO IKIWA NI PAMOJA NA MAZAO KUHARIBIWA KUVUNJIKA MADARAJA PAMOJA NA NYUMBA.
MWISHO
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.