• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Mahakma wilaya ya Ulanga yahadhimisha wiki ya sheria kwa kutoa elimu kwa wafungwa gereza la Ulanga

Imetumwa: January 28th, 2021

Wananchi wilayani ulanga mkoani morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye wiki  ya  sheria ili kufahamu mambo mbalimbali yanayohusiana na sheria.

Hayo yamesemwa na hakimu mkazi mfawidhi wa  mahakama ya wilaya ya ulanga mh. James mhanus wakati wa uzinduzi wa wiki ya sheria kwa wilaya ya ulanga   na kuongeza  kuwa  elimu hiyo  inafaida  kubwa kwa jamii kwa kuwa watajifunza  mambo mbalimbali yanayaotolewa na wadau mbalimbali wa mahakama kama vile ustawi wa jamii, takukuru, polisi, magereza na mahakama zenyewe.

“nawaomba wakazi wa wilaya hii wajitahidi kujitokeza na kuhudhuria wiki ya sheria ili kuweza kujifunza mambo mbali mbali hususani mambo ya sheria na pia watajifunza mambo mbali mbali kutoka takukuru,polisi,magereza,na mahakamani pi”Amesema Mhanus

Uzinduzi huo umefanyika leo 25/1/2021 katika gereza la mahenge ambapo wafungwa pomoja na mahabusu wamepata nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali na changamoto wanazokutana nazo  na kwa upande wa mahakama na mwendesha mashtaka  amejibu na kutatua baadhi ya changamoto ambazo zimekuwa ndani ya uwezo wao.

Hata hivyo mahabusu wametoa  shukrani zao kwa mahakama na muendesha mashtaka  kwa kuwa wamewajali na kuwathamini kwa kuweza kufanya uzinduzi huo  katika gereza la mahenge.

Aidha  mh. Hakimu pamoja na muendesha mashtaka  wa  jeshi la polisi   inspekta simon mgonja,   wametoa wito  kwa  wafungwa watakao  maliza muda  wao  na mahabusu ambao watakaokuwa hawana hatia waende wakawe raia wema kwenye jamii na sio kurudia makosa.

Wale ambao wata,maliza muda wao humu ndani ,tunawashauri wakawe raia wema huko waendako na waepuke kurudia makosa ambayo yatawafanya kurudishwa humu ndani .”Amesema Muhanus

 Wiki ya sheria   itaendelea hadi tarehe 29/1/2021  ambapo  kwa siku ya kesho 26/1/2021 mahakama itaendelea kutoa elimu katika shule sekondari nawenge

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.