Na Yuster sengo
Jumla ya shilingi m 95.366 zmepatikana katika harambee ya kuchangia ujenzi wa madarsa wilayani ulanga lililoongozwa na mkuu wa mkoa morogoro
Harambee hiyo imeongozwa na mkuu wa mkoa wa morogoro Dkt Kebwe Steven Kebwe na kuwapongeza wale wote waliojitokeza kuchangia katik kuhakikisha majengo yanakamilika na wanafunzi wansoma katika madarasa hayo
Katika harambee hiyo kiasi cha shilingi m 5,480,000 zimekusanywa papo hapo ambapo,ahadi ikiwa ni shilingi m 43,865,000,huku wengine wakiahidi kutoa vifa mbalimbali kama vile bati,aruji,bati na meza vyenye thmani ya shilingi m 39,565,000
Aidha mkuu wa mkoa amesema kuwa harambee hiyo iwe endelevu kwani wilaya ya ulanga ni tajiri na inafanya vizuri katika sekta ya elimu hivyo wananchi wajitokeze kuchangia kwa wingi ujenzi huo wa madarasa 24 yanayohitajika kujengwa
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.