• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

mkuu wa wilaya aendelea na ziara yake

Imetumwa: September 3rd, 2018

Na Yuster sengo

Mkuu wa wilaya ya Ulanga Mh Ngollo Malenya ameweka adhma ya kutembelea vijiji vyote 59 vya wilaya hii lengo kuu likiwa ni kujitambulisha kwa wakazi wa vijiji hivyo pamoja kuhamasisha maendeleo

Akizungumza katika mkutano wa wananchi katika kijiji cha Mbuga mh Malenya amesema kuwa kwa kufika katika kijiji hicho zitaibuka changamoto mbali mbali hivyo atajitahidi kuwajibika kikamilifu kwa kuweza kutafuta suluhisho la chanagamoto hizo

Akizungumzia mikakati yake na wapi atakapo elekezea nguvu zake mkuu wa wilaya amesema kuwa,ataelekezea nguvu katika bank tofali,mimba za mashuleni ,uchomaji misitu hovyo , pamoja shughuli za kijamii

Aidha katika suala la bank tofali katika kijiji cha mbuga ilibainika kuwa hakukuwa na tofali hata moja sababu kubwa ikiwa ni wakazi wa kijiji hicho wamegomea kushiriki katika zoezi la bank tofali kwakua uongozi wa kujiji hicho kutokusoma ripoti ya mapato na matumizi kwa kipindi cha mwaka mmoja hivyo wananchi hao wamekosa haki ya kujua michango yao inaenda wapo na inafanya kazi gani

“wananchi najua katika suala la bank tofali na suala la mapato na matumizi najua mtakua na mengi ya kusema  na mimi nitawapa nafasi muweze kutoa kero zenu  kwasababu haiwezekani mtoe michango yenu halafu msijue matumizi yake katika maendeleo “amesema mkuu wa wilaya Mh Ngollo Malenya

Aidha amewataka wakzi hao wa Mbuga kujiunga na Bima ya afya kwakua ugonjwa haupigi  hodi na marfa nyingine hali ya ugonjwa inaweza kukuta kipindi ukiwa hauna hata akiba kidogo hivyo ukiwa na bima ya afya inaweza saidia kipindi chote cha ugonjwa

Mh Ngollo amezungumzia suala la mimba za mashuleni  na kusema kuwa ofisi yake itwachukulia hatua vijana wote wanaowapa mimba watoto wa shule na hata wale wanaojihusisha na mapenzi na wanafunzi na hata wazazi na walezi wanaoshirikiana katika kuwaficha wahusika wa mimba hizo na kumalizia masuala haya nyumbani

”tukimkamata mzazi au kijana  anayeishi na mwanafunzi atakua mfano na atahadithia “amesema Ngollo

Hata hivyo amesisitiza wakazi hao kuacha tabia ya kuchoma misitu kwani ofisi yake haitalifumbia macho suala hilo hivyo kuwataka wakazi hao kushirikiana kutoa taarifa pale wanapo baini kuna mtu kachoma moto

“kwa suala hili tutachukua hatua stahiki ,tutahakikisha mnatajana  kwa maana haiwezekani mtu achome  msitu halafu asifahamike kwahiyo nitoe tu rai wananchi wote mtii sheria bila shuruti uchomaji wa misitu ni kosa na lazima tutunze misitu yetu kwaajili ya vizazi vya badae

Ziara hii ya Mkuu wa Wilaya ya Ulanga  Mh Ngollo Malenya bado inaendelea katika vijiji vingine ambapo  siku ya tarehe 3/9/2018 atakua katika kata ya Sali kuendelea na ziara ya kujitambulisha na kuhamasisha maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.