Imetumwa: September 4th, 2018
Na patrick mishomari
Mgogoro wa shamba la karanga miti lenye ukubwa wa hekali elfu 49 ni moja kati ya mashamba poli yaliyo orodheshwa kati ya mashamba poli ya wilaya ya ulanga mkoani morogoro...
Imetumwa: September 4th, 2018
Na Ester Mwita
Wananchi wameombwa kujitolea katika kutekeleza wa miradi kwa ushirikiano na serikali ili iweze kukamilika kwa wakati na kutoa huduma k...
Imetumwa: September 3rd, 2018
Na Yuster sengo
Mkuu wa wilaya ya Ulanga Mh Ngollo Malenya ameweka adhma ya kutembelea vijiji vyote 59 vya wilaya hii lengo kuu likiwa ni kujitambulisha kwa wakazi wa vijiji hivyo pamoja kuhamasish...